Featured

    Featured Posts

RAIS KIKWETE ATEMBEKEWA NA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO IKULU DESEMBA 23, 2014

WEWSERWREWR

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
SSSSSS
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014

unnamed-3
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,
aliyekwenda kumjulia na kumpa pole hali Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
zzzzzzzzzz
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © 2025 DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana