Minong’ono! Tumbo la staa wa Bongo Fleva,
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ limezua maswali
kwa wadau kibao kama ni la kawaida au tayari
mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh
Muziwanda’ ameshampachika ujauzito.
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed
‘Shilole’.
Shilole au Shishi Baby alizua minong’ono hiyo
wikiendi iliyopita nyumbani kwa mwigizaji, Aunt
Ezekiel Grayson maeneo ya Mwananyamala
jijini Dar ambapo kulikuwa na shughuli ya 40
ya mtoto wa Aunt, Cookie iliyokwenda
sambamba na futari huku mastaa kibao
wakijumuika katika tukio hilo.
Akiwa kwenye tukio hilo, Shilole alizua maswali
baada ya tumbo lake kuonekana limejaa kama
mjamzito.
“Dah nipo kitambo sasa lakini sijapata picha
kama tumbo la Shilole ni mimba au kashiba
tu, maana kwa uzoefu wangu jinsi
anavyoonekana atakuwa na mimba,” alisema
mmoja wa mashuhuda.
Baada ya kuona hali hiyo, mwanahabari wetu
alimfuata Shilole kwa lengo la kumtaka
azungumzie ishu hiyo kama ni tumbo tu au
ameshanasa ujauzito, ambapo alisema:
“Ni kweli nina mwanaume rijali lakini
sijabahatika kupata mimba, nadhani
muonekano wa tumbo ni kwa sababu ya nguo
niliyovaa ila natamani kupata mtoto,” alisema
Shilole.

Post a Comment