Featured

    Featured Posts

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAMEMWAGANA? INGIA HAPA

Tangu juzi kumekuwa kukionekana post za sintofahamu za wapenzi wawili Instagram, “stars” wa Bongo flava Nuh Mziwanda na Shilole.
Post hizo zinaonekana kama wapenzi hawa wametofautiana, na kila mmoja amekuwa akitoa udhaifu ama “makavu” mwenzie.
Taarifa hizo zimeonekana kuwachanganya followers na fans wao Instagram, wengine wakidai wanatafuta “Kick” kwa sababu kuna “mkwaju” mpya wameundaa pamoja.
Zitazame post zao hapo chini then tuachie maoni yako mdau.
“Kidume unataka raha tu ‘pesa hauna ‘na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga ‘mjini hapa ‘halafu sina habari ‘wacha niwe busy na kazi zangu tu’mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare
Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika’ila sasa kama gari limewaka’aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu’Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZ” amendika Shilole.
“Mwanaume wa kweli ukaa kimya’sibishani na upumbavu’mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa’na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu’familia na’wasanii wenzangu na wadau’anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew’mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu ‘nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari ‘mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE” haya ameyaandika Nuh
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana