Anaitwa Tuerny Wousen, mrembo wa Kitanzania ambaye wadau huko Instagram wanamuita pacha wa Wema Sepetu sababu wamefanana sana. Wema mwenyewe aliziona comments zao na kumbe anafahamiana na mrembo huyo. Alijibu kwa kuandika kuwa Tureny ni “mke mweza wangu.” Photos: Instagram.com/tuerny Follow Tuerny: On Instagram: Tuerny | On Twitter: Tuerny Wousen |
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment