Featured

    Featured Posts

WAMEUMBUKA LIVE! DUDE ANASWA NYUMBANI KWA ESTER!

Gladness Mallya na Hamida Hassan BAADA ya kukataa sana, hatimaye mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenaswa nyumbani kwa mwigizaji Ester Kiama ambaye inadaiwa kuwa ni mpenzi wake. 
Mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ akiwa nyumbani kwa mwigizaji mwenzake Ester Kiama.
 Tukio hilo lililofuatiliwa na makachero wetu wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM), lilijiri juzikati nyumbani kwa mtoto huyo mzuri mwenye mvuto wa aina yake, Kijitonyama jijini Dar baada ya chanzo kupenyeza taarifa za Dude kuwa na desturi ya kuibuka nyumbani hapo mara kwa mara wakati wa chakula cha mchana.
 Makachero wetu walifika mapema eneo la tukio na kujibanza sehemu ambapo ulipofika muda muafaka, Dude aliingia katika geti la nyumba hiyo ya Ester akiwa na gari aina ya Toyota Mark II kisha Ester akatoka kumpokea.
 

Wakizungumza jambo.
 Walipokuwa wanaingia ndani, Dude aliwashtukia mapaparazi wetu waliokuwa bize kuwafotoa ‘mapicha’ ndipo aligeuka mbogo kwa kurusha matusi na kukataa kutoa ushirikiano kwa waandishi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana