Featured

    Featured Posts

WEMA SEPETU Azidi Kung’ara, Aukwaa Ubalozi Tena!



muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital ya Kimataifa ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House.....
Mkataba huu ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana.
By Martin Kadinda, Meneja wa Wema Sepetu
Hongera sana Wema
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana