Featured

    Featured Posts

KIFUA KIZURI CHA DADA HUYU CHAWA GUMZO KWA WANAUME.


                                                                     
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa zetu wateja wa duka moja la nguo hapa mjini Street Winners Botiq wamejikuta wakiishia kutizama picha za kifua cha dada huyu (iina tumelihifadhi) kwani amekuwa ni kivutio zaidi hasa kwa wanaume katika moja ya matangazo ya bidhaa za duka hilo,lakini cha kushangaza wamekuwa wakiishai kutizama umbile la dada huyo na si kutizama mavazi ambayo dada huyo amekuwa akiyatangaza au kuyaonyesha moja kwa moja akiwa ameyavaa.
Hakika kila mtu amekuwa akitamani sana kumtongoza..
Baadhi ya watu wamekuwa na maoni tofauti  wakidai kwamba kitendo cha dada huyu kuacha sehemu ya kifua chake nje kimekuwa ni kero kwao hasa wanawake wakihofia kuwakosa wanaume wao maana motto kajaaliwa.. Wengine wamedai dada huyo huenda anania nyingine tofauti na anachokitangaza,kwani haina ulazima wa yeye kuweka kifua nje…!!
“Lakini mwisho wa siku tunasema biashara matangazo” 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana