Featured

    Featured Posts

WEMA SEPETU AMSIFIA MPENZI WAKE WA ZAMANI CHARLZ BABA NA KUMPONDA DIAMOND PLATNUMZ LIVE..STORI NZIMA HII HAPAA



Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana. Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa. “ Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu 
naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili ,” amesema. “T ulizinguana tukafika pointi tukasaidiana, ameoa nikamtolea mchango, nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo .” “Mimi na Chaz Baba tulikuwa tunapendana na baada ya kufikia point ya kuachana tukaachana, tukawa hatuongei for sometime mwisho wa siku baada ya kila mmoja kukaa kwake tukawa tunazungumza. Sio kama watu wengine tukigombanaga tunatafuta mabifu, hatusemeshani,” ameongeza mrembo huyo aliyesisitiza kuwa ‘sina bwana’.

Endelea kuperuz modesigntz beste wangu wa ukweli, na mimi ntaendelea kukuwekea kila stori inayonifikia..

BOFYA LIKE KUUNGANA NA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana