Mashabiki wa Mapenzi ya Diamond na Zari the Boss Lady wameamua kumjia juu Zari baada ya Mrembo huyo kupost Picha kwenye account yake ya Instagram akiwa Bafuni akioga Picha ambayo Kimaadili Anatakiwa Kuiona Diamond tu na sio mtu Mwingine.
Japo kuwa Instagram mtu anatakiwa ajiunge akiwa na Zaidi ya Miaka 18 lakini Kimaadili ya Kikwetu imeonekana Zari anajishushia Marks Za Shemeji Bora….
PICHA ILOZAA KIZAIZAI HICHO NI HII HAPA CHINI
baadhi ya watu walotiririsha Lawama zao hawa Hapa Chini
faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu
santamolly1234: ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa….by de way nahis alivuka stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa muache ale maisha tuuuu.
faridahfakhi Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show
ladymodal Simama tukuoneee….bad!
KUONA ZAIDI MAONI YA WATU NAKUUNGANISHA MOJA KWA MOJA NA ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM SHUHUDIA COMMENTS ZOTE HAPA CHINI
Post a Comment