Featured

    Featured Posts

ROSE MHANDO ATENGWA NA WAIMBAJI INJILI WENZAKE... HATIMAYE AZUNGUMZA.

MAZITO tena! Kufuatia madai ya kuchoropoa mimba ya miezi saba kulikodaiwa kufanywa na mwimba Injili nyota Bongo, Rose Mhando, baadhi ya waimbaji wenzake (majina kapuni)  wamesema hawawezi kuwa naye karibu tena katika huduma.
Rose mwenyewe pamoja na waimbaji wengine waliweza kutoa yao ya moyoni, ambapo Rose alisema yeye hajasema kitu hivyo wanaojua kuchonga acha waendelee. Nao waimbaji wengine kama Flora Mbasha, Jenifer Mgendi, Bahati Bukuku nk walisema hawajui lolote.
gpl.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana