Featured

    Featured Posts

MARIAH CAREY ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 41 KWA MBWA WAKE HOTELINI


Utafanya nini ukipewa kiasi cha Milioni 41 za kitanzania muda huu? Bila shaka utapanga mengi na wazo kubwa likiwa kuuaga umasikini kwa muda kama hukuwahi kuzishika. 

Lakini Mariah Carey ametumia kiasi hiki cha fedha kuwaburudisha mbwa wake kwa kuwapangishia chumba katika hotel ya kifahari, Bristol. 

Kwa mujibu wa Daily Mail, Mariah amelipia kiasi cha zaidi ya $25,000 (zaidi ya Milioni 41) ili mbwa wake hao wapewe huduma daraja la kwanza katika hotel hiyo ya kifahari. 

Mbwa hao wamepewa chumba chao pekee, wanahudumiwa chakula kizuri kinachopikwa na mpishi wao maalum katika hotel hiyo, watapelekwa kuogelea na kutembezwa 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana