Featured

    Featured Posts

WAPENZI WAAMUA KUJIBADILISHA SURA ILI WAFANANE KISA WANAPENDANA SANA




.
Bwana harusi ambaye siku ya harusi yake alivaa gauni kama bibi harusi, kufanana kwao kulizua utata, nani mwanaume na nani mwanamke, ilibidi hata vyeti vya kuzaliwa viletwe ili kumaliza utata huo.

Padri alipata kigugumizi siku ya kufungisha ndoa hiyo, ikabidi kiletwe cheti cha kuzaliwa cha mwanaume ili ndoa hiyo ifungwe
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana