Hivi karibuni Shilole a.k.a "Shishi Babby" alikuwa akipiga show katika moja ya tamasha lililofanyika siku ya jumamosi katika hostel za UDSM Mabibo ambapo alishangaza wengi baada ya kuonekana akiwa ameongeza kilo zaq nyama katika mwili wake kiasi ya watu wengi kushindwa kumtambua kiurahisi na hata kupunguza kasi ya kushambulia jukwaa kitu kilichowapa mashabiki zake maswali mengi ya kujiuliza
Walisikika baadhi ya mashabiki walio hudhuria show hiyo wakisema
"mbona hafanyi kama tulivyo zoea"? akasikika mwingine akimjibu "kanenepa sana ndio maana"
Msanii huyo ali perform ngoma zake zote kali ikiwemo hii mpya ya MALELE
Post a Comment