Featured

    Featured Posts

MASOGANGE AFUNGUKA==>>SINA MPANGO WA KURUDI BONGO, SUBIRINI KWANZA HUKU NDO KUNA MAISHA


Mrembo aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana.
 Masogange alisema kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu vyake vinamuendea sawa na maisha yake yanasonga mbele siku hadi siku na kwa kuwa ana uraia wa Afrika Kusini, hategemei kurudi hivi karibuni.
“Bongo kwa sasa wasubiri kwanza kwani kuna vitu muhimu sana nafanya huku na nikishakamilisha nitakuja Bongo kidogo kusalimia maana siku hizi si unajua ni wa hukuhuku,” alisema Masogange.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana