Featured

    Featured Posts

LULU AFUNGUKA KUWA HAWA NDO WATU ANAOWAPENDA ZAIDI

Lulu: Mmoja Kati ya Hawa Akinichukia Ndio Nitapata Pressure, Lakini Wengine…..

Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael “Lulu” akiwa na familia yake, Mama na mdogo wake wanapata  ‘Lunch’  Aliweka picha hii mtandaoni na kuandika kuwa, kama ikitokea mmoja kati ya  wanafamilia hao, akimchukia ndio anaweza akapata ‘pressure’ lakini wengine wote hata wamchukie hawezi kuwa kujali na atatafuta njia ya kushughurika nao.
“Lunch thngz wth Family, Ikitokea mmoja kati ya hawa akanichukia ndo ntaweza kupata pressure....but the rest, I'll search 4 a Fck to give” Lulu aliandika.
Nadhani ujumbe umefika!!!
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana