Featured

    Featured Posts

Baada ya Maneno Mengi Kuwa Zari Anatumia Muda Mwingi na Diamond Amua Kufanya Hili Kwa Watoto Wake

Baada ya wiki moja ya malumbano mtandaoni na king lawrence kumlaumu mrembo huyu kuwa anatumia muda mingi na mpenzi wake mpya Diamond platnumz kuliko watoto wake. 
Mpenzi huyu mpya wa mkali wa Msanii wa Bongo Nasibu Abdul 'Diamond' ameamua kuwaonyesha wambea wake kuwa anawapenda wanawe na muda wote yuko nao.
Hizi ni baadhi ya picha akiongelea na wanae kabla ya shule kufunguliwa 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana