BUUUU! Hizo ndizo kauli zilizozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii mara baada ya habari ya kurekodiwa video ya utupu ya mwanadada anayedaiwa kuwa mwandani mpya wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kuchapishwa gazetini nchini Uganda, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Vyanzo tofauti mitandaoni vimeielezea video hiyo. Kuna ambavyo vimedai kuwa mwanadada huyo alirekodiwa ‘akijichua’ mwenyewe huku vyanzo vingine vikienda mbali zaidi kwa kudai alirekodiwa akivunja amri ya sita na mpenzi wake wa zamani
Pichani ‘Zari’, ‘The Boss Lady’ akiwa mtupu.
Gazeti la Red Pepper la Desemba 5, mwaka huu ndilo lililomponza mwanadada huyo kwa kuripoti kuvuja kwa video ya utupu ya mrembo huyo na kusababisha aonekane hafai mbele ya jamii. Wadau wengi wakaanza kuhoji kwa nini akubali kurekodiwa video hiyo wakati yeye ni mtu mzima tena mama wa watoto watatuVyanzo tofauti mitandaoni vimeielezea video hiyo. Kuna ambavyo vimedai kuwa mwanadada huyo alirekodiwa ‘akijichua’ mwenyewe huku vyanzo vingine vikienda mbali zaidi kwa kudai alirekodiwa akivunja amri ya sita na mpenzi wake wa zamani
Post a Comment