Wazazi wa Miss Tanzania 2O13 Happiness Watimanywa Akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka Kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa Leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha Mashindano ya Miss World 2O14 Yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14 Ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2O13 Happiness Watimanywa Anaiwakilisha Tanzania.
Wazazi Hao wa Miss Tanzania 2O13 Happiness Watimanywa Wamewaomba Watanzania Kumwombea NA Kuendelea Kumpigia Kura Miss Tanzania 2O13 Katika Mashindano Hayo Ili Aweze Kuiwakilisha Tanzania Vema na Kuibuka Mshindi.Ikumbukwe Mpaka Juzi Miss Tanzania 2O13 Happiness Watimanywa Kura za Watanzania Zilimuwesha Kuingia Kumi Bora.
Post a Comment