BAADA YA KUCHEZEA KICHAPO CHA NGUVU TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KATIKA ENEO LA KITUO KIDOGO CHA MABASI MJINI KAHAMA.
KULA BUTI LA USO CHALIIIII
HAPA AKITOA MAELEZO KUHUSU VITU ALIVYOKWAPUA.
TARATIBU MATAILI NA MABOX YAKAANZA KURUSHWA ILI IPIGWE KIBERITI.
KIPIGO KIKIENDELEA NA MABOX YAKAZIDI KURUSHWA ILI APIGWE MOTO.
WANANCHI WAKISHUHUDIA KIPIGO CHA MMBWA MWIZI ALICHOPEWA KIBAKA ALIYEKUWA AKITAKA KUIBA MAFUTA YA KULA KATIKA BASI.
ASKARI WAKIWASILI KATIKA ENEO LA TUKIO KUOKOA MAISHA YA KIBAKA HUYO.
HAPA AKIJARIBU KUINUKA BAADA YA ASKARI KUMWAMURU AINUKE.
JITIHADA ZA KUINUKA ZILIGONGWA MWAMBA KUTOKANA NA KICHAPO,HAPA ASAKARI AKIMSAIDIA KUINUKA.
AKIMPELEKA KWENYE GARI TAYARI KUMPELEKA KITUO CHA POLISI.
AKIONDOLEWA ENEO LA TUKIO BAADA YA KUNUSURIKA KUFA

Post a Comment