Featured

    Featured Posts

Picha za Mapokezi ya Wema Sepetu Baada ya Kutua Bongo Kutoka Ghana ziko Hapa.


Staa Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka huko  Van Vicker amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake, picha zingine za mapokezi ziko hapo chini

Martin, Wema na Petitman


Wema na Petitman
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana