Featured

    Featured Posts

Picha ya Gari jipya Alilojinunulia Ommy Dimpoz Katika Msimu Huu wa Sikukuu liko Hapa.

Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas
Msanii Ommy Dimpoz mapema leo kupitia akaunti yake ya Instagram ameachia picha za gari lake jipya aina ya Prado ambalo amejinulia yeye mwenyewe picha ziko hapa chini

Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas


Kupitia Instagrama msanii huyu aliandika hivi 


“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” 


Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas 
 
Hongera sana Ommy Dimpoz kwa kujipatia zawadii hii 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana