Featured

    Featured Posts

Picha ya Gari Anayomiliki Mtoto wa Yusuph Bakhresa Lenye Thamani ya Million 800 za Kitanzania.








Mtoto wa tajiri anashika nafasi ya kwanza hapa Tanzania Yussuf Bakhresa amenunua gari mwanae ambalo anamiliki mmiliki wa klabu ya Manchester city ya England, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa gari hiyo ambayo jina lake ni brabus.Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000 sawa na shiingi milioni 805 za kibongo


Hizi ni baadhi ya pcha za gari hilo likiwa na dereva anayemwendesha mtoto wa tajiri huyo


























author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana