Featured

    Featured Posts

PICHA: SHILOLE AWATOA UDENDDA MASHABIKI WAKE WA UBELGIJI‏

 Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi.Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii.
 Wachaa weeee.
 Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya pichaShilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini BelgiumMapicha picha ya ukumbusho ya Shilole.
Dada Rose akiwa na Shilole.
 Shilole aliombwa saini na balozi wa Madagasca[Mnyamwezi umetishaaaaa] wakakutangazeeee.
New artist Max at work.Dili ikienda sawa Shilole kula donge nono,,,lini,wapi na saa ngapi Mungu ndio mjuzi,,,kaa mkao wa kula.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana