Kupitia kwenye instagram account yake @bossngasa ametoa
taarifa juu ya hali yake kwa sasa baada ya kupata Ajali juzi akiwa na
Rafiki zake ambao walipoteza maish kutokana na Ajali hiyo ... Boss Ngasa
ameendelea kusema kuwa zipo Taarifa zinazagaa kua amekufa ...
Amekanusha taarifa hizi na ni vema watu wakawa mkini na uvumi huo.
T
Post a Comment