Featured

    Featured Posts

LULU MICHAEL WA BONGO NI NOUMA..TAZAMA JINSI VIGOGO WA BUKOBA WALIVYOMFANYIA KUFURU

LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela
Mwigizaji wa filamu,mrembo na mwenye mvuto wa kufanya wengi wapagawe, Elizabeth Michael aka Lulu ambae kwasasa yupo Mjini Bukoba kwa mapumziko mafupi.



    LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela 1

    Akiwa katika viwanja vya kula bata mjini hapo Lulu hakusita kuwasifia watu wa kabira la Wahaya kwa njinsi alivyo furahia GOOD TIME alilopewa na kumfanya afunguke mwenyewe kwenye mitandao ya kijamii  “Wahaya noma......
    LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela 2

    Hili Bata la Watu wa Bukoba ni Noumer...! likizo isiishe jamani” Haikuishiahapo, alitupia picha nyingi mtandaoni akiwa "SAMUWEA" kama unavyoziona hapo juu. Lakini hiyo picha  ya miguu ndio iliua wengi, kwakuitendea haki alifunguka.
    LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela 3

    “Nishawahi kusema naipenda miguu yangu!???? Wallah Naipenda kwa Moyo mmoja ,oky naendelea kuoga hela..kuoga Maji mwisho Dar Es Salaaam...kwa kina Mutashobya(BUKOBA) ni kuoga Hela tu...!oky bye” Lulu alimaliza.
    LULU: Bata la Watu Wa Bukoba Ni Noumer…Naendelea Kuoga Hela 4

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana