Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe comments na like za kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo ni NOUMA.
Comment za vidume wengi walionyesha kupagawa na urembo wa mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache….
Kama unavyoina hapo juu, nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha kitenge chenye maua maua ambacho kimemuacha wazi sehemu yote na miguu na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt cha rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wazi sehemu za juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya kiuno upande wa ubavuni....
Mara nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake.
Post a Comment