Namleta kwako mwimbaji staa wa Tanzania Ommy Dimpoz ambae anatajwa kuwemo kwenye 5 bora ya waimbaji wa kiume wa Tanzania wanaopokea malipo makubwa kwenye show zao.
Mkali huyu ambae alisogeza mbele show zake za Ulaya ili amalizie Fiesta Tour 2014 Tanzania, juzi amefanya show Sweden kwenye muendelezo wa list yake ya Ulaya ambapo mpaka sasa ameshafanya pia show Holland na Ujerumani.

Show hii ya Sweden ndio ilikua show yake ya mwisho kwenye mzunguko huu na atarejea Tanzania Jumanne ya wiki hii kuendelea na maisha ya nyumbani.
Kitu kimoja ambacho hatokisahau Ommy ni kuhusu waandaaji Biorn production na Biboze Ent. ambao wamecheza na sehemu yao vizuri kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa time kuanzia kwenye malipo, show na vingine vyote vilivyobaki.

Post a Comment