Featured

    Featured Posts

NOUMA SANA:MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA

Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Lulu.
MASTAA wa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’.
Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia ni wale ambao hupenda kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo wanaposafiri au kusigana kidogo, ndipo wanapolazimika kuzitumia.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Isabela Mpanda.
Mastaa waliozungumza na gazeti hili kuhusu nyeti hizo, lakini wakikana kuwahi kutumia ni pamoja na Lulu Semagongo, Isabela Mpanda, Baby Madaha, Tamrina Poshi ‘Amanda’ na Vai wa Ukweli ambaye alisema yeye anapojisikia karaha ya mapenzi, hupenda kunywa pombe, hata kama ni asubuhi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana