Featured

    Featured Posts

Exclusive:Wema na Penny wamaliza tofauti zao

Penny n Wema3

 
 Mtangazaji wa TV Penny Mungila aka VJ Penny na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu wamemaliza tofauti zao baada ya kutoelewana takribani miezi kadhaa iliyopita.Upatanisho huo umefanywa na Junaitha ambaye aliandaa chakula cha usiku katika hoteli ya Sea Cliff Hotel Dar es Salaam.Penny n Wema2
Mastaa hao wawili walitengana baada ya kila mmoja kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinumz huku wakiacha gumzo katika mitandao ya kijamii.

Penny n WemaPichani:Junaitha akiwa na Wema & Penny baada ya kuwapatanisha,Sea Cliff Hotel Dar es Salaam

 


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana