Tunaishi katika ulimwengu ambao Mwanamke akielezea Makosa anayotendewa na mpenzi wake anaonekana Kaonewa na anadai Haki yake.... Lakini Mwanaume akielezea Makosa anayotendewa na Mpenzi wake anaonekana Mshenzi anamdhalilisha Mwenzie.... je unafkiri ni kwanini? na je unahisi hiyo ndio sababu inayowapelekea wadada wengi kufanya vitu vya ajabu Wakiamini wanakimbilio...?
Post a Comment