Lady Jaydee na Gadner G Habash hawajawahi kukiri hadharani kuwa ndoa yao imevunjika licha ya magazeti mengi ya udaku kuandika hivyo.
Kuna kila dalili kuwa yamemwayo ni kweli hasa baada ya mtangazaji huyo mkongwe kupost picha akiwa na mrembo aliyejifunga taulo kwenye bwawa la kuogelea.
Gadner ambaye kwa sasa anafanya kazi kwenye kituo cha redio cha EFM alipost picha hiyo bila kuandika chochote zaidi ya kuweka ‘emoji’ ya mkono unaopunga.
Inaonekana kuwa tayari Captain ameshaamua kusonga mbele!

Post a Comment