Featured

    Featured Posts

JINI KABULA KAHABA..ANA UKIMWI NA MENGINE MENGI..." SOMA ZAIDI HAPA KAFUNGUKA MWENYEWE!

UDAKU ...Kama upendi udaku Ishia hapa!!!.......
Muigizaji wa kike bongo movies JINI KABULA anayetumia jina la Kabulaflavour kwenye mtandao wa INSTAGRAM leo amefunguka hivi kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake!!!
Kipi sijasikia...Kabula kahaba..Kabula mlevi..Kabula mgomvi..Kabula ana ukimwi..na mengine mengi tu,naombeni mseme mapya nimechoka kusikia ya zamani na kama hamna mapya niacheni nipumzisheni nipumzike... Akaendelea nahii;

Ooooh mala nimefulia jamani naomba kuwaambia sijawahi kuwa Manji kwaiyo habari za kufulia sizijui wanaofulia ni wale ambao walishawahi kuwa matajiri sasa umeona wapi maskini naye kafulia..??? Hihihihihihi binadamu mnakazi sana nimemalizaaaa MY TAKE; 
Mastaa wetu ni SHEEDAH!!!
Kwa Story zaidi ingia hapa chini
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana