Nene Leakes goes braless as she announces her return to RHWOA
Filed Under:
ENTERTAINMENT
Unknown
Real Housewives of Atlanta star,Nene Leakes announced she will be making a comeback in season 10 after leaving the show in 2015. Nene who was paid $1m per season was offered a whooping $2.5 million to return ,but she was asking for more.
It appears they finally reached an agreement as she announced with sexy photos writing
It appears they finally reached an agreement as she announced with sexy photos writing
It's been a long process but we've finally reached an agreement! All Hail the Queen for season 10 of #RHOA
Diamond apokelewa kifalme jijini Dar
Filed Under:
ENTERTAINMENT
Unknown
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Marekani alipotwaa tuzo tatu za Afrimma.
Diamond akiwa na tuzo zake akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege.
Diamond akianza safari ya kuelekea Escape One kutoka uwanjani hapo.
Akiwa barabarani kuelekea Escape One.
Bodaboda wakiongoza msafara wa Diamond kuelekea Escape One.
Diamond akizidi kukatiza mitaa mbalimbali ya jiji la Dar.
Mashabiki wakia katika msafara wa Diamond.
Diamond akiongea na mashabiki wake njiani wakati akielekea Escape One.
MWANAMUZIKI nguli wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo amepokelewa kwa shangwe na mamia ya mashabiki wake waliohudhuria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Diamond ametua nchini akitokea Marekani alipokwenda kwa ajili ya zoezi la utoaji tuzo za Afrimma ambapo alitwaa jumla ya tuzo tatu.
Baada ya mapokezi hayo Diamond akiwa na msafara wa mashabiki wake walielekea Escape One, Mikocheni kwa ajili ya kuzungumza na wanahabari pamoja na kupiga picha za pamoja na mashabiki wake.
PICHA HIZI ZA RIHANNA ZAZUA GUMZO MTANDAONI
Filed Under:
ENTERTAINMENT
Unknown
Jack Wolper Ndoa Yamtia Uchizi..ANGALI VITUKO VYAKE NA MCHUMBA'AKE HAPA
CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi
Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu kimesimama, ni kama imenitia uchizi, muda wa kuishi na mwanaume kwenye ndoa takatifu umewadia,” alitiririka Wolper.
Chanzo: GPL

List ya Washindi wote wa Tuzo za AFRIMMA 2015 Marekani, Vee Money, Ommy Dimpoz na Diamond nao wamo !!

Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye headlines za Kimataifa.
Mtu wako wa nguvu ni mmoja ya walioshuhudia utoaji wa Tuzo za AFRIMMA 2015 ndani ya Dallas, Texas Marekani… Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, yukoOmmy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumzna Tuzo tatu.
List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.
Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>> Bracket Feat. Tiwa Savage & Diamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)

Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama
Best Video Director- Godfather (South Africa)