Featured

    Featured Posts

MANENO 5 YAKUMFANYA MPENZI WAKO ILI APATE NYEGE


Mapenzi ni safari ndefu sana,na safari ya mapenzi husaidiwa  sana na mawasiliano bora kati ya msichana na mvulana.Wakati wa maongezi kitu ambacho husaidia kwa kiasi kikubwa sana ili maongezi yaendelee ni pamoja na maswali.

Kuna namna ya kuuliza maswali mpenzi wako ambayo nimekuandalia yatakusaidia sana kuamsha hisia za mpenzi wako na kamwe atakuwa anapenda sana kuongea nawewe wakati wa usiku hasa kwenye mazungumzo ya simu.

 Kama unahitaji mpenzi wako apende kuchati nawewe sana hasa nyakati za usiku we muulize haya maswali.

1.UMELALA PEKE/UKO PEKE YAKO?
Swali hili ni maalumu kwa ajili ya kugungua  kama mpenzi wako yuko peke yake na unaweza kuongea mazungumzo yoyote na yeye wakati huo akawa yuko tayari kukupa ushirikiano  mzuri wa mazungumzo.

2.UNAFANYA NINI SANA HIVI?
Swali hil humfanya ajisikie mpweke na kumfanya awe tayari kuwa na mazungumzo na wewe kwa  kina zaidi na hapo unaweza kuingiza mazungumzo ya kimapenzi.

3.UNAPENDA KUJIKUNYATA/KUJIJUMBATIA WAKATI UMELALA?
Mchemshe kwa mazungumzo ya kimahaba lakini hakikisha hauvuki mstari wa mazungungumzo,hili pia litamsaidia kufunguka na utamtambua kama anapenda stori za aina hiyo au la..
4.UME VAA NGUO NGANI WAKATI WA KULALA?
Hili limezoeleka kwa watu wengi zaidi kwani hupenda sana kulitumia

5. VIPI UMEPENDEZA **(WAKATI WA KUVAA HIZO NGUO ZA KULALA)*?
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana