Ajali ya Moto ambao umeteketeza gari maeneo ya Sinza Kumekucha leo mchana, chanzo cha moto huo inasemekana kuwa ni tanki la mafuta la gari hilo kutoboka na ikiwa gari hilo lilikua gereji bubu kwaajili ya matengenezo.
The latest News, Gossip, Photos, Videos and all the information you need are here.
Post a Comment