Paul Makonda akizungumza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea mweza wa Urais kupitia CCM Bi Samia Suluhu Hassan,mkoani Mwanza.
Makonda amesema kuwa hakuna uchanguzi mwepesi na raisi kwa CCM kama wa mwaka huu
Kasema mwaka huu CCM inapambana na Vibaka,Wachochezi na Mafisadi waliokimbilia UKAWA.
Msikilize Makonda akizunngumza hapo chini..
Post a Comment