Featured

    Featured Posts

Sentensi Saba(7) Za Mbowe Leo Arusha Ambazo Sitazisahau Katika Maisha Yangu



Mbowe: Natambua kwamba katika umma huu wapo wanachama wanaounda ukawa na wasio wanachama na wanaccm, wote watanzania wenzetu.
Mbowe: Tunawahitaji watu wote tunawahitaji bila itikadi zao kutekeleza ndoto ya kitaifa. Leo tumewapokea wengi kutoka ccm sasa ni wenzetu.
Mbowe: Fursa kama hii ya Lowassa ni nadra, halikuwa jambo jepesi kumleta Lowassa ndani ya chama hiki,nilipokea matusi mengi lakini sikukata tamaa
Mbowe: Majeruhi walikuwa wengi katika safari hii, lakini itafika wakati Mungu atawapa ujasiri wakaungana na safari hii ya kidemokrasia.
Mbowe: Jana mji wa Mbeya ulisimama siku nzima, leo tupo Arusha, kesho tupo Mwanza, kesho kutwa Zanzibar, huu ni mpango wa Mungu.
Mbowe Hatuhitaji utitiri wa vyama nchi hii, wingi wa vyama siyo ukubwa wa demokrasia.Azma yetu ukawa ni kuunda chama kimoja Mungu akipenda.
Mbowe: tunapambana na watu waovu wanaopenda dhuluma, wametuzuia barabarani polisi, polisi wenyewe hawajai hata kwenye kiganja cha mkono.




















author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana