Ratiba iliyotolewa na CHADEMA kuhusu safari ya Mgombea Urais wa Chama hicho, Edward Ngoyai Lowassakutafuta wadhamini Mikoani ilionesha August 14 2015 ataanzia Mbeya, August 15 ni Arusha, August 16 ni Mwanza na atamalizia Zanzibar August 17 2015.
Tayari Mgombea huyo wa Urais katua Mbeya na hapa ninazo pichaz ambazo nimesogezewa na watu wangu walioko Mbeya kuonesha hali ilivyokuwa.
Hawa ni Vijana wa Red Brigade, wanaohusika na Ulinzi na Usalama CHADEMA.
Hii ilikuwa wakati msafara wa Mgombea huyo Urais unasubiriwa.
Hapa ni eneo la Uwanja ambapo Mgombea huyo Urais akiwa na baaadhi wa Viongozi wa UKAWA ameongea na Wananchi wa Mbeya.
Hii ni sehemu ya watu waliojitokeza kwenye Mkutanio wa CHADEMA Mbeya.
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment