|
Kitu chakushangaza sana tanzania kumuona star wa kike tanzania kujiachia akiwa na nguo ya ndani tu maeneo ya beach.lakini kwa wenzetu ni vitu vya kawaida sana kama unavyoomuona mwanadada serena katika picha tofauti na fukwe tofauti akiwa na nguo za ndani tu.hana tatizo na mtu na anafanya yake bila kuogopa mtu. |
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment