MBUNGE wa Jimbo la Geita, Donald Max amefariki dunia jana jioni akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila amethibitisha taarifa za kifo hicho na kuongeza kuwa taarifa zaidi zitatolewa kesho Juni 24, 2015.
Picha ya marehemu Donald Max
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment