Featured

    Featured Posts

LADY JAYDEE AFUTWA MACHOZ, AVALISHWA PETE NA MCHUMBA WAKE MPYA

Moja ya Couple za mastaa zilizokuwa maarufu ni ile ya Gadner na Msanii maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady Jaydee, Lakini mapenzi hayo yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli zaidi ya hao wawili.

 Nimekuletea picha hizi zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka sasa hajajulikana aliemvalisha pete ni nani....
Jaydee akionyesha pete yake..


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana