Featured

    Featured Posts

ZARI THE BIG BOSS AMCHENGUA BABA YAKE DIAMOND, AMWAGIWA SIFA KIB



Kukubali! Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amefunguka kuwa, kwenye listi ya wanawake wote waliowahi kuwa na mwanaye kimalovee, mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndiye mkwe wa ukweli kwake kutokana na kuwa tayari kumletea mjukuu.

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari'.Akizungumza na Amani, juzikati jijini Dar, baba Diamond alisema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo vilikuwa vikimkosesha amani ni maneno yaliyokuwa yakimsakama Diamond kuwa huenda hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke, kiasi cha warembo wote aliowahi kuripotiwa kutoka nao kutoka patupu bila kushika ujauzito
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana