Meya Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST alilofanikiwa kulinunua Juzi tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata gari hilo ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda mrefu kwani amekuwa hana gari na amekuwa akitumia gari la serikali na kwa muda mwingine inamlazimu kutembea nalo katika shughuli zake binafsi.
Lakini sasa Meya Silaa Amesema amejiskia mwenye furaha sana baada kupata gari linalotumia mafuta kidogo na linalotumia gharama ndogo itakayomwezesha kuishi maisha ya Furaha...Swali Je?ni unamjua kiongozi mwingine wa kisiasa na kijamii kama meya Jerry Silaa mwenye gari la aina hii na zuri hivi??
Post a Comment