Ajali iliyotokea eneo la mchura kilimanjaro
AJALI mbaya imetokea mchana wa jana eneo la Uchira mkoani Kilimanjaro baada ya basi la Harambee kugongana na lori na kusababisha watu sita kujeruhiwa na wawili kati ya hao kuumia zaidi.
Mtandao huu uliongea na kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro na kathibitisha ajali hiyo kutokea.
Author Name
Author Description!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment