Gari aina ya TATA lenye namba za usajili SU 39761likiwa limehalibika vibaya baada ya ajali hiyo kutokea.
Mashuhuda wakiwa katika eneo la tukio. Ajali ya gari imetokea jana jioni katika eneo la Mwalusembe Wilaya ya Mkuranga, Pwani kati ya gari lenye namba za usajili SU 39761linalomilikiwa na Chuo Kikuu Huria Tawi la Lindi na Fuso lenye namba za usajili T 735 CKY, dereva wa Fuso alikimbia mara baada ya ajali na waliokuwemo kwenye gari dogo wamepata majeraha na kukimbizwa Hospitali ya Mkuranga kwa matibabu.
Post a Comment