Featured

    Featured Posts

STORI KAMILIPENZI KATI YA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ LAHAMIA KWENYE INSTAGRAM ILI KUJIBIZANA NA DIAMOND

Kuna vitu vingi vya kuficha lakini sio mapenzi, Penzi jipya kati ya staa wa Bongo Movie Wema Sepetu na Mkali wa Ndagushima Ommy Dimpoz ndio habari ya mjini kwa sasa ambapo wawili hapo wanaendelea kushika hisia za watu wengi kwenye mitandao ya kijamii huku habari zao zikivuma mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.Kwenye Instagram Ommy Dimpoz alikuwa wa kwanza kupost picha yake akiwa na Wema Sepetu kitandani kisha akafuatiwa na Wema Sepetu huku picha hiyo ikaambata na ujumbe usemao "Usiku Mwema" 

Wema-Sepetu-na-Ommy-Dimpoz-kitandani 


Baadhi ya mashabiki wamekuwa na mitazamo tofauti kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wakushibana na kipnd cha nyuma walikuwa wakiambatana mpaka hata kwenye show nje kama marekani na kwengineko picha inayoweza kujengeka kwa Diamond ni kuwa walikuwa wakitoka toka siku nyingi au kutamaniania toka siku nyingi.
Wema-Sepetu-na-Ommy-Dimpoz-kitandani 

Kwenye Instagram kuna zile Team ambazo huwa huchochea majibizano fulani au hata kutengeneza bifu baina ya wasanii sasa Team Wema wametoa kauli wakisema ni Muda wa Wema Sepetu kupata Kitumbo (mimba) ya Ommy Dimpoz na jingine pia ni kuwa Ommy ni Handsome kushinda hata Diamond.

Picha zingine ziko hapo chine endelea kufurahia


Wema-Sepetu-na-Ommy-Dimpoz-kitandani 

Wema-Sepetu-na-Ommy-Dimpoz-kitandani
Wema-Sepetu-na-Ommy-Dimpoz-kitandani 


Unataka Ubuyu wa habari zetu usikupite basi tufuate kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana