Unaambiwa mtoto Zari hakubaki Nyuma siku ya Wapendanao,Kampandia ndege Diamond na Kutua bongo,hapo kwenye Picha wakienda zao Zanzibar kula raha Diamond ambapo mpinzani wake AlliKiba nae yupo Zanzibar kwenye tamasha la Sauti za Busara, Diamond amepost picha hiyo na kuandika#ValentineWeekEndInZanzibar
Post a Comment