Featured

    Featured Posts

PENNY: NIMEPATA MCHUMBA MUNGU NI MWEMA



Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’,  Penniel Mungilwa ‘Penny’.Akipiga stori na juzikati, Penny alisema wengi wamekuwa wakitaka kusikia suala la yeye kuolewa baada ya kubainika ana mchumba lakini mwenyewe anasema hajafikiria hilo la kuitwa mke kwa sasa.

“Kwenye hilo la kufunga ndoa naweza kusema bado niponipo sana, yapo mambo yangu ambayo lazima niyakamilishe kabla ya kuolewa, ndoa si mchezo, kujipanga ni muhimu,” alisema Penny.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana