Featured

    Featured Posts

NJEMBA YABAMBWA IKILA MZIGO NDANI YA SUPER MARKET


Polisi wamemshikilia kijana aliyekuwa akifanya m@penz na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani.

Sean Johnson mwenye miaka19 alikamatwa na jeshi hilo baada ya kunaswa na wanunuzi wa bidhaa ndani ya Supermarket hiyo ya Walmart akiwa uchi huku akifanya ng0n0na Sanamu  mwenye maumbile ya kike.

Taarifa ya jeshi hilo ilisema Johnson alikamatwa katika video iliyomuonyesha akiwa yupo busy na sanamu hiyo hadi alipogundulika na baadhi ya watu waliokua wakinua bidhaa.

Inasemekana alipokamatwa aliomba radhi lakini wateja walikataa na kumkokota hadi polisi pamoja na sanamu alilokua akifanya nalo kitendo hicho.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Total Pageviews

Copyright © DAILY MAIL | Designed By Code Nirvana