L
ulu Michael Mrembo wa Bongo movies amezidi mwagiwa sifa Kede kede mitandaoni hasa Instagram kwa jinsi anavyojiweka kimuonekano japo anakabiliwa na kesi ya
mauaji ya bila kukusudia ya marehemu Kanumba , Watu wamempa sifa na kusema toka atoke mahabusu kwa dhamana amezidi kuwa mrembo zaidi..Wapo wanaotania na kusema amezidi kuwa Mtamu kama Mcharo!!!!
Post a Comment